📰 最近消息
🌙 Nasaha za Leo – Alkhamisi, 14 May 2026 | 26 Dhul-Qaada 1447H📌 Muislamu anapaswa kuutumia umri wake wote katika kufanya mambo ya kheri. Wala asighurike na umri, nafasi au cheo chake.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Ijumaa, 15 May 2026 | 27 Dhul-Qaada 1447H📌 Uislamu umekemea vikali uchafu huu na kutoa adhabu kali kwa kuwa ni kitendo kinachoenda kinyume na utaratibu Allah aliouweka.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Jumamosi, 16 May 2026 | 28 Dhul-Qaada 1447H📌 Ukiona moyo wako unapenda mambo ya shari na kuchukia mambo ya kheri basi fahamu moyo wako umekufa. Unahitajia kuuhuwisha kwa kujiweka karibu na mola wako kila nyakati na kuilazimisha kupenda kheri na kuchukia shari.🌍 Jiunge na channel ye
🌙 Nasaha za Leo – Jumapili, 17 May 2026 | 29 Dhul-Qaada 1447H📌 Ni muhimu kwa Muislamu kuuchunga ulimi wake kwani ni miongoni mwa viungo vitakavyokuwa sababu ya wengi kuingia motoni.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Jumatatu, 18 May 2026 | 01 Dhul-Hijja 1447H📌 Tabia ya kuomba omba ni tabia mbaya iliyokemewa na Dini ya kiislamu. Ni wajibu kwa watu wenye tabia hii kutahadhari kwani ni yenye kumfedhehesha mwenye kufanya hivyo.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp
🌙 Nasaha za Leo – Jumanne, 19 May 2026 | 02 Dhul-Hijja 1447H📌 Ubora wa siku 10 za dhul-hijjah🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Jumatano, 20 May 2026 | 03 Dhul-Hijja 1447H📌 Ubora wa matendo mema ndani ya siku 10 za dhul-hijjah.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Alkhamisi, 21 May 2026 | 04 Dhul-Hijja 1447H📌 Ubora wa siku 10 za mwezi wa Dhul-hijjah.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Ijumaa, 22 May 2026 | 05 Dhul-Hijja 1447H📌 Siku hizi 10 za Dhul-Hijja ni zawadi kwetu wanadamu. Tujitahidi katika kutenda matendo mema kwa wingi.🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C
🌙 Nasaha za Leo – Jumamosi, 23 May 2026 | 06 Dhul-Hijja 1447H📌 Ubora wa kufanya matendo mema ndani ya siku 10 za Dhul-Hijja 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C