📰 最近消息
🍷🍷Saturday 🍷🍷HLOOKUP made Simple For Questions and Concerns - - - andika Kwenye thread JF
🍷🍷For Job hunters out there 🍷🍷Zingatia wakati unaendelea kupata tips za Spreadsheets hapa 💼💼💼👓👓👓👓💼💼💼💼
Guys, I'm back... stay tuned!! Nondo za excel zitadondoka hapa... Tunaomba radhi kwa kupotea hewani kwa muda!
Ushawahi kujifunza jinsi ya kutenganisha au kugawanya data katika excel ? yaani zilizopo katika column moja kuwa mbili ? Pata darasa kidogo hapa na nishukuru baadae...Chagua column ambayo unataka kuigawa,then nenda kwenye data----->> halafu utaona sehemu kwa juu imeandikwa text to columns click hapo
Then chagua delimited, kitakuja kitu kama hiki hapo chini. Fixed width yaani kutenganisha kwa upana fulani tutazungumzia siku ingine. Bonyeza next
Unaweza ukachagua kugawanya kwa kutumia space, semi colon, au alama yoyote ambayo ipo common katika column husika. Mimi hapo nimechagua kutumia dash yaani - utaona neno Jamii forums na number zimetengana. then click nextutapata kitu kama hiki hapa chini baada ya ku click finish
Nakaribisha maswali, kama kawaida kwenye thread yetu JF,
Kwa wale wageni, Unaweza jifunza mengi kwa kufuatilia posts za mwanzo kabisa. Hili ni kundi kwa ajili ya kujifunza. Hakuna usumbufu wa chatting. Kama kuna swali, liulizwe kwenye post yetu ya JF
The account of the user that created this channel has been inactive for the last 5 months. If the account of the creator remains inactive in the next 30 days, it will be self-destructed and the channel will lose its creator.
The account of the user that created this channel has been inactive for the last 5 months. If the account of the creator remains inactive in the next 28 days, it will be self-destructed and the channel will lose its creator.